Who can help me, please? Case yangu ilitupiliwa mbali na H/O about a year ago. Ile jobo nilikuwa nikifanya wakaanza kuitisha mathangu, nikaescape for some time mpaka wakachoka wakanifukuza mpaka nipeleke vitu. Right now im in a fix, don't know what to do. Please help me guys. Sina pesa ya wakili at the moment na siqualify legal aid. Am genuinely desperate. Good day and Godbless you all. |