|
SAIDIENI TAFADHALISeptember 23 2009 at 5:04 PM | george |
| i have just moved chini kwa chini huku kwa wangu kutokea france....niko na marafiki najua wanaishi hapa kwa wangu....which website or how do i find adresses?barikiweni |
|
| Author | Reply |
shiku
| Re: SAIDIENI TAFADHALI | September 23 2009, 7:08 PM |
karibu sana, hukuna noma andika majina yako,mahali umetoka and nambari za simu au email alafu andika majina za mabeshte na makao yao walipotoka alafu wata wasiliana nawe au watu waliowafahamu watawajulisha kuhusu vile unawatafuta. kila na heri |
|
| Current Topic - SAIDIENI TAFADHALI |
|
|