Hi there, could somebody pliz advise me, niko na travel doc. ya UK kwa sababu mimi mkibizi, niko na mtoto wa mwaka moja na amezaliwa hapa kama bado niko na hii status ya mkibizi. Je, nita apply travel doc. ama passport ya hapa for him? Baba yake ako chini kwa chini na hajatoka nchi yangu. Thank in advance. |