<< Previous Topic | Next Topic >>Return to Index  

I need help please

September 29 2009 at 12:17 PM
 

Hi wakenya wenzangu,story yangu ni refu sana,lakini sasa hivi nimefika mwisho,for the last two months sina job?niko chini,and not known nchii hii,niko hapa kwa wangu, wala staki kurudi home juu sina enough chapa,back nyumbani.Please watu wa nyumbani nisaidieni na contacts ama namba za simu za lawyer yeyote anaweza nisaidia na story ya ki nyumbani,sina mtu yeyote hapa ana idea,ya ki home!Please nisaidieni,na nitashukuru sana,nawaomba,thanks na mungu awabariki ata wale wako in the same situation!

 
 Respond to this message   
Current Topic - I need help please
  << Previous Topic | Next Topic >>Return to Index