mimi nilikuja hapa kwa wangu mkimbizi toka nchi njirani. baada ya miaka sita nilifunga ndoa na jamaa wa home ambaye ako na kitabu cha red. hivi nimepata makao ya miaka miwili kama bibi. swali ni, nataka kuomba travel document lakini wanataka barua kutoka kwa embassy ya nchi jirani kuwa hawatanipa pp. embassy wanataka cheti cha uzaliwa na ID ya hiyo nchi lakini sina hizi vitu. nitafanya nini ilinipate travel doc? nataka sana kwenda nyumbani. please msinitusi....naomba mawaidha tu. barikiweni. |