|
advice please!November 1 2009 at 2:26 PM | ghy |
| For those of you with the experience please advice me:
My fiance and I are planning kuoana. Yeye ni mzungu wa hapa (British).
Shida nikwamba mimi niko chini kwa chini. Sijajilipua.
Naulizeni, would it be easier for me tu sort out makaratasi yangu if tukioana hapa (kwa church of England) ama tukienda kufunga ndoa nyumbani?
Asanteni kwa mawaidha yenu.
barikiweni sana. |
|
| Author | Reply |
Aleki
| advice please! | November 2 2009, 5:03 AM |
dada, kama hamna mtoi na hapa hawakujui afathali mfanye ndoa nyumbani maanake mambo yamekua magumu siku hizi. Oneni wakili hapa kabla ya kufanya chochote lakini. |
|
jack
| advice, | November 2 2009, 9:26 AM |
mzalie mtoto, then you contact them, otherwise its next to impossible unless you go home. |
|
Anonymous Coward
| Re: advice please! | November 2 2009, 9:43 AM |
fanya harusi harafu ujaribu kutoka hapa siku hizi ukitoka wachukua picha huko airport na kukuambia usijaribu kurudi rafiki yangu alienda na sasa miaka mitatu amesindwa kurudi |
|
wendy
| Re: advice please! | November 2 2009, 2:39 PM |
mimi nigekuadvise mwende nyumbani then muoane nyumbani alafu urudi kaa dependant wake, mie nakwabia kitu mii nisaa fanya, nilikua tuu kaa wewe lakini mbwanangu niwa home naamepewa kitabu cha hapa. tulienda home tukaoana alafu tukaaply na baada ya wiki tatu niliitiwa kitabu changu na nikarudi hapa.Ilikua tuu mwaka huu, sikuamini , namsifu mungu kila siku and i want to tell u this hakuna kitu ngumu if u trust in God. wish u all the best |
|
| Current Topic - advice please! |
|
|