Watu wetu, mnaweza kunipa mawaitha tafadhali. nimekuwa hapa miaka 11 and a half now. Nimeoleka kwa bwana wangu mkenya miaka tano na nusu sasa. Niko chini na sijajilipuwa wala kufanya kitu kwa HO. Tuko na mtoto mmoja 2 and a half na mwingine due anytime. Bwana yangu alipewa ILR last year.
Swali:
Ni afadhali kwenda nyumbani ama tunaweza apply kitu kutoka hapa. By the way tumekaa pamoja miaka kumi.
pigia rose muigai simu on 07931 116 124, 0208 538 1397/8. mambo siku hizi imebadirika. ukirudi nyumbani hutarudi huku paka 10 years. sista ya rafiki yangu alindangywa andshe never came back. seek advice please.