Jameni nina swali. Nilipewa mapaper ya miaka tatu na ninashukuru Mwenyezi lakini ninamtoi hapa but mama yake ako chini kwa chini (overstayer). Swali ni, naweza kumsaidia wife yangu vyovyote angalau ata yeye apewe miaka tatu angalau? Nikataka kutembea home an mtoi anahitaji nini? Nataka kuwasaidia ili tufanye job which we haven't done for years.
Please help |