| Original Message |
anony Posted May 10, 2007 9:41 PM
Patrick,come slowly brother.Wacha kutukana watu ovyo.Rome was not built in one day.Kwa hivyo wacha kusema ati kibaki hajatimiza yale ambayo aliahidi.Wewe kama ungekuwa rais,ungewezana kweli?Sina ubaya lakini,kuongea ukweli,Kibaki amejaribu and if only people gave him a second chance,Our country will continue to do better.Otherwise,wacha hasira nyingi and God will bless u and dont forget,There is no single time on earth,gukagia na president Kenya na andu mamwagire mahitia.
|
|
|