<< Previous Topic | Next Topic >>Return to Forum  

Kujipatiana

January 5 2015 at 2:18 PM
Score 1.0 (1 person)
Liz 

Happy New Year and God's blessings to you all.

Natakakuuliza Kama watu bado hujipatiana....
Nani ako na hadithi yo yote? Sijakaa sana huku miaka miwili tu.
Asanteni.
Liz

Scoring disabled. You must be logged in to score posts.Respond to this message   
AuthorReply
mum

kujipeana

Score 1.0 (1 person)
January 7 2015, 2:17 AM 

kenya wameambiwa juu ya muite case ya mau mau waondoke

Scoring disabled. You must be logged in to score posts.Respond to this message   
wanjohi

Re: Kujipatiana

No score for this post
January 7 2015, 9:56 AM 

wots ur email address

Scoring disabled. You must be logged in to score posts.Respond to this message   
Anonymous

Re: Kujipatiana

No score for this post
January 9 2015, 9:55 AM 

Wewe kweli hujakaa huku, na hujui tofauti ya hukuu na Jamhuri. Wale wanojua tofauti waliaja mabo ya kuipeana na wanarudi Jamhuri. Ni nini unataka huku kukavu? Hata kazi za kufagia hauna habari sasa ni za wenyeji na EU?

Scoring disabled. You must be logged in to score posts.Respond to this message   
Anonymous

Re: Kujipatiana

No score for this post
January 14 2015, 1:31 PM 

Wee chunga nasikia nikubaya Sana unaweza ends kujipatiana uwekwe kwa detention mpaka kesi iishi kuwa sure na story poa. Pia ready for anything.

Scoring disabled. You must be logged in to score posts.Respond to this message   
Tony

Re: Kujipatiana

No score for this post
January 19 2015, 3:37 PM 

Kila mtu na bahati yake lakini siku hizi mambo hiyo ni ngumu sana...tafuta mtu wako mufanye harusi na upate watoto..

Scoring disabled. You must be logged in to score posts.Respond to this message   
Anonymous

Re: Kujipatiana

No score for this post
January 29 2015, 9:14 AM 

Kujipeana this time and age saa ile hata watu wako na papers wanarudi nyumbani?

Scoring disabled. You must be logged in to score posts.Respond to this message   
Anonymous

Re: Kujipatiana

Average Score 2.0 (2 people)
February 19 2015, 1:09 PM 

aaaahh! discouraging others to get papers na wewe uko unakula chai??? si apate makaratasi muendanishe home?

Scoring disabled. You must be logged in to score posts.Respond to this message   
 
  << Previous Topic | Next Topic >>Return to Forum  
Find more forums on Network54Create your own forum at Network54
 Copyright © 1999-2018 Network54. All rights reserved.   Terms of Use   Privacy Statement